3 monthsMiezi 3
Hands-on practiceMafunzo ya vitendo
Starter kit includedVifaa vya kuanzia
Learn to bake cakes, bread and snacks that sell, from mixing and baking to decorating and pricing your orders.Jifunze kuoka keki, mikate na vitafunio vinavyouzika, kuanzia kuchanganya na kuoka hadi kupamba na kupanga bei ya oda zako.
What you will learnUtakachojifunza
- Kitchen hygiene and safetyUsafi na usalama jikoni
- Measuring and mixing ingredientsVipimo na uchanganyaji wa viambato
- Cakes and cupcakesKeki na keki ndogo (cupcakes)
- Bread, buns and snacksMikate, bans na vitafunio
- Cake decorating and icingKupamba keki kwa icing
- Costing and selling your productsKupanga bei na kuuza bidhaa zako
What you can do afterUtakachoweza kufanya baadaye
- Start a home baking businessAnzisha biashara ya kuoka nyumbani
- Take cake orders for weddings and partiesPokea oda za keki za harusi na sherehe
- Work in bakeries, hotels and cafésFanya kazi kwenye bakery, hoteli na migahawa
3 monthsMiezi 3
Hands-on practiceMafunzo ya vitendo
Starter kit includedVifaa vya kuanzia
Plan and decorate halls, stages and tables for weddings, send-offs, birthdays and other events.Panga na pamba kumbi, majukwaa na meza kwa harusi, send-off, sherehe za kuzaliwa na matukio mengine.
What you will learnUtakachojifunza
- Hall and stage decorationMapambo ya ukumbi na jukwaa
- Fabric draping and backdropsKupamba kwa vitambaa na backdrops
- Balloon decorationMapambo ya maputo
- Flower and table arrangementsMpangilio wa maua na meza
- Colour themes and event planningKuchagua rangi na kupanga tukio
- Pricing and serving clientsKupanga bei na kuhudumia wateja
What you can do afterUtakachoweza kufanya baadaye
- Start an event decoration businessAnzisha biashara ya mapambo ya sherehe
- Work with event planners and hallsFanya kazi na waandaaji wa matukio na kumbi
- Decorate homes and offices for occasionsPamba nyumba na ofisi kwa matukio maalum

MakeupUrembo wa Uso
Urembo wa UsoMakeup
3 monthsMiezi 3
Hands-on practiceMafunzo ya vitendo
Starter kit includedVifaa vya kuanzia
Do everyday, bridal and event makeup with good technique and hygiene, and build a portfolio that wins clients.Fanya urembo wa kila siku, wa maharusi na wa sherehe kwa ustadi na usafi, na jenga portfolio ya kuvutia wateja.
What you will learnUtakachojifunza
- Skin preparation and skin careMaandalizi na utunzaji wa ngozi
- Everyday and natural makeupUrembo wa kila siku na wa asili
- Bridal and event makeupUrembo wa maharusi na sherehe
- Eyebrows and lashesNyusi na kope
- Cleaning and caring for your toolsUsafi na utunzaji wa vifaa
- Building a client portfolioKujenga portfolio ya kazi zako
What you can do afterUtakachoweza kufanya baadaye
- Work as a freelance makeup artistKuwa msanii wa urembo anayejitegemea
- Take bridal and event bookingsPokea kazi za maharusi na sherehe
- Work in salons and beauty shopsFanya kazi saluni na maduka ya urembo
3 monthsMiezi 3
Hands-on practiceMafunzo ya vitendo
Starter kit includedVifaa vya kuanzia
Braid, weave, style and care for hair the way clients ask for it, with professional salon hygiene and customer care.Jifunze kusuka, kushona, kutengeneza mitindo na kutunza nywele kama wateja wanavyotaka, pamoja na usafi na huduma bora za saluni.
What you will learnUtakachojifunza
- Hair care, washing and treatmentsUtunzaji, uoshaji na matibabu ya nywele
- Braiding and plaitingKusuka na kusokota
- Weaving and wig fittingKushona nywele na kuweka wigi
- Relaxing, setting and stylingKulainisha, kuseti na kutengeneza mitindo
- Natural hair careUtunzaji wa nywele asilia
- Salon hygiene and customer careUsafi wa saluni na huduma kwa wateja
What you can do afterUtakachoweza kufanya baadaye
- Work as a salon stylistFanya kazi kama msusi saluni
- Open your own salonFungua saluni yako mwenyewe
- Offer braiding at clients’ homesToa huduma ya kusuka nyumbani kwa wateja
3 monthsMiezi 3
Hands-on practiceMafunzo ya vitendo
Starter kit includedVifaa vya kuanzia
Turn gifts into beautiful packages for weddings, birthdays and companies, and learn to sell your wrapping services.Geuza zawadi kuwa vifurushi vya kuvutia kwa harusi, sherehe za kuzaliwa na makampuni, na jifunze kuuza huduma zako za ufungashaji.
What you will learnUtakachojifunza
- Papers, materials and toolsKaratasi, vifaa na zana za kufungashia
- Gift boxes and hampersMasanduku na vikapu vya zawadi (hampers)
- Ribbons and bowsKutengeneza riboni na mafundo
- Wrapping for weddings, birthdays and companiesUfungashaji kwa harusi, sherehe za kuzaliwa na makampuni
- Presentation and packaging for saleUwasilishaji na ufungashaji wa bidhaa za kuuza
- Pricing and sellingKupanga bei na kuuza
What you can do afterUtakachoweza kufanya baadaye
- Start a gift wrapping businessAnzisha biashara ya ufungashaji wa zawadi
- Make hampers for weddings and holidaysTengeneza hampers za harusi na sikukuu
- Take orders from shops and companiesPokea oda kutoka maduka na makampuni